# mjeledi ni kwa ajili ya farasi, lijamu kwa ajili ya punda na fimbo ni kwa ajili mgongo wa wapumbavu mjeledi, lijnamu na fimbo ni vitu ambavyo watu hutumia ilikuwafanya farasi, punda, na wapumbavu wanataka nini. # lijamu kwa ajili ya punda lijamu imetengenezwa kwa nyuzinyuzi. Watu huweka kwenye vichwa cha punda na kushikilia yuzi moja ili kumfanya punda atembee kama wanavyotaka. # fimbo ni kwa ajili mgongo wa wapumbavu Nyakati za Biblia watu waliweza kuwacha watoto wao au watumwa wao kwa fimbo ya mti ili kuwatia adabu.