sw_tn/pro/25/27.md

20 lines
648 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siyo vema kula asali nyingi mno; hivyo ni kama kutafuta heshima baada ya heshima
kupata heshima na kula asali ni vizuri, lakini unaweza kula asali nyingi sana na unaweza kutumia nguvu nyingi ili watu wakuheshimu.
# siyo vema
"ni jambo baya"
# hivyo ni kama kutafuta heshima baada ya heshima
"ni kufikiria kila wakati jinsi watu wengine wanapaswa kukuheshimu" au "hivyo ni kuongea sifa nyingi sana kwa watu"
# mtu asiyejitawala ni kama mji uliobomolewa na usiokuwa na ukuta
Mtu asiyejitawala na mji bila ukuta wote ni dhaifu na wapo katika hatari.
# uliobomolewa na usiokuwa na ukuta
"ambao ukuta wake umeangushwa na jeshi na kuharibiwa"