# siyo vema kula asali nyingi mno; hivyo ni kama kutafuta heshima baada ya heshima kupata heshima na kula asali ni vizuri, lakini unaweza kula asali nyingi sana na unaweza kutumia nguvu nyingi ili watu wakuheshimu. # siyo vema "ni jambo baya" # hivyo ni kama kutafuta heshima baada ya heshima "ni kufikiria kila wakati jinsi watu wengine wanapaswa kukuheshimu" au "hivyo ni kuongea sifa nyingi sana kwa watu" # mtu asiyejitawala ni kama mji uliobomolewa na usiokuwa na ukuta Mtu asiyejitawala na mji bila ukuta wote ni dhaifu na wapo katika hatari. # uliobomolewa na usiokuwa na ukuta "ambao ukuta wake umeangushwa na jeshi na kuharibiwa"