sw_tn/pro/25/13.md

20 lines
534 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama baridi ya theluji wakati wa mavuno ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu
mjumbe mwaminifu anafananishwa na baridi ya theluji kwa sababu vyote hivi ni vizuri.
# baridi ya theluji
Hii ni lugha ya picha kuonesha uzuri wa jambo.
# theluji
barufu ambayo hudodoka kutoka angani kama mvua
# hurejesha uhai wa bwana zake
huwafanya bwana zake walidhoofika na kuchoka kuwa imara na kubrudika tena.
# mawingu na upepo bila mvua ndivyo alivyo mwenye kujisifu ...hakutoa
"Mwenye kujisifu ...bila kutoa ni kama mawingu na upepo bila mvua