# kama baridi ya theluji wakati wa mavuno ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu mjumbe mwaminifu anafananishwa na baridi ya theluji kwa sababu vyote hivi ni vizuri. # baridi ya theluji Hii ni lugha ya picha kuonesha uzuri wa jambo. # theluji barufu ambayo hudodoka kutoka angani kama mvua # hurejesha uhai wa bwana zake huwafanya bwana zake walidhoofika na kuchoka kuwa imara na kubrudika tena. # mawingu na upepo bila mvua ndivyo alivyo mwenye kujisifu ...hakutoa "Mwenye kujisifu ...bila kutoa ni kama mawingu na upepo bila mvua