sw_tn/pro/25/07.md

12 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni bora yeye akuambie, "Njoo huku juu"
maana yake kupelekwa sehemu ya meza ambayo ni karibu na mfalme. "ni bora mtu akukaribishe kukaa karibu na mfalme"
# mbele ya mkuu
"mbele ya mtu mkuu"
# Maana utafany nini mwishoni wakati jirani yako atakapokuaibisha?
" Maana hutajua ufanye nini mwisho wakati jirani yako atakapukuaibisha" au "Maana kama jirani yako anamaelezo, atakuaibisha, na hutakuwa na kitu cha kusema ili kujitetea mwenyewe."