sw_tn/pro/23/17.md

12 lines
342 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# isiruhusu moyo wako kuwahusudu wenye dhambi
" usijiruhusu mwenyewe kuwahusudu wenye dhambi" au "hakikisha huwahusudu wenye dhambi"
# tumaini lako hataondolewa
"Mungu hataruhusu mtu yeyote kuondoa tumaini lako" au " Mungu atalinda ahadi yake aliyoifanya kwako"