# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # isiruhusu moyo wako kuwahusudu wenye dhambi " usijiruhusu mwenyewe kuwahusudu wenye dhambi" au "hakikisha huwahusudu wenye dhambi" # tumaini lako hataondolewa "Mungu hataruhusu mtu yeyote kuondoa tumaini lako" au " Mungu atalinda ahadi yake aliyoifanya kwako"