sw_tn/pro/22/28.md

24 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20)
# kale
ya zamani sana
# jiwe la mpaka
jiwe kubwa ambalo linaonesha ardhi ya mtu mwingine inapokomea na mwanzo wa ardhi ya mtu
# baba
wahenga
# je unamwona mtu mwenye ujuzi katika kazi yake?
"fikiri juu ya mtu unayemfahamu mwenye ujuzi katika kazi yake"
# simama mbele
huwa ni mtumishi wa wafalme na watu wengine wenye vyeo watamtazama kuwa wenye hadhi ya juu na kuhitaji uduma yake.