# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # kale ya zamani sana # jiwe la mpaka jiwe kubwa ambalo linaonesha ardhi ya mtu mwingine inapokomea na mwanzo wa ardhi ya mtu # baba wahenga # je unamwona mtu mwenye ujuzi katika kazi yake? "fikiri juu ya mtu unayemfahamu mwenye ujuzi katika kazi yake" # simama mbele huwa ni mtumishi wa wafalme na watu wengine wenye vyeo watamtazama kuwa wenye hadhi ya juu na kuhitaji uduma yake.