sw_tn/pro/22/20.md

16 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inaendelea na kukamilisha utangulizi ulianza katika mstari wa 22:17
# je sikuandika kwa ajili yako ...wewe?
"unapaswa kufahamu kuwa nimeandika kwa ajili ...yako"
# misemo thelathini
katika tafasiri zingine inasomeka "misemo yenye ubora"
# kwa wale waliokutuma
maana yake msikilizaji ni mtu ambaye ametumwa na watu kupata habari ya mafundisho na kuwarudishia majibu.