# Maelezo ya Jumla Mistari hii inaendelea na kukamilisha utangulizi ulianza katika mstari wa 22:17 # je sikuandika kwa ajili yako ...wewe? "unapaswa kufahamu kuwa nimeandika kwa ajili ...yako" # misemo thelathini katika tafasiri zingine inasomeka "misemo yenye ubora" # kwa wale waliokutuma maana yake msikilizaji ni mtu ambaye ametumwa na watu kupata habari ya mafundisho na kuwarudishia majibu.