sw_tn/pro/22/17.md

28 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mstari wa 17 unaanza utangulizi wa sehemu mpya ya kitabu cha Mithali
# tega sikio lako na usikilize
"sikiliza kwa umakini"
# maneno ya busara
"ambayo watu wenye hekima husema"
# tumia moyo wako kwa
"fanya bidii kufahamu na kukumbuka"
# maarifa yangu
"maarifa niliyonayo, ambayo ninakupatia"
# yote yapo tayari kwenye midomo yako
"unaweza kuyaongea muda wowote"
# wewe leo
msemaji anasisitiza kuwa maneno haya nanamhusu msikilizaji wala si mtu mwingine