# Maelezo ya Jumla Mstari wa 17 unaanza utangulizi wa sehemu mpya ya kitabu cha Mithali # tega sikio lako na usikilize "sikiliza kwa umakini" # maneno ya busara "ambayo watu wenye hekima husema" # tumia moyo wako kwa "fanya bidii kufahamu na kukumbuka" # maarifa yangu "maarifa niliyonayo, ambayo ninakupatia" # yote yapo tayari kwenye midomo yako "unaweza kuyaongea muda wowote" # wewe leo msemaji anasisitiza kuwa maneno haya nanamhusu msikilizaji wala si mtu mwingine