forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
547 B
Markdown
16 lines
547 B
Markdown
|
# hakuna hekima, hakuna ufahamu, na hakuna ushauri ambao
|
||
|
|
||
|
"Yahwe ni mkuu kuliko kuliko kitu chochote ambacho mtu anakifahamu, anakifikiri au anachosema. "hakuna mwenye busara, ufahamu wa kitu chochote, au mwenye kuwaagiza wengine kufanya jambo furani"
|
||
|
|
||
|
# kusimama dhidi ya Yahwe
|
||
|
|
||
|
"kumshinda yahwe" au " kufanya kazi dhidi ya mapenzi ya Yahwe" au " kuonesha kwamba anahaki na Yahwe amekosea"
|
||
|
|
||
|
# farasi hutayarishwa kwa ajili ya siku ya mapigano
|
||
|
|
||
|
"wanajeshi huandaa farasi kwa ajili ya siku ya mapigano"
|
||
|
|
||
|
# siku ya mapigano
|
||
|
|
||
|
"wakati kuna mapigano"
|