sw_tn/pro/20/17.md

28 lines
489 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkate uliopatikana kwa udanganyifu
"mkate ambao mtu ameupta kwa kudanganya"
# kwa udanganyifu
"kwa kuwadanganya wengine"
# mkate
"chakula"
# ladha yake tamu
" ladha yake ni nzuri"
# lakini baadaye kinywa chake kitajaa kokoto
"lakini baadaye ladha yake itakuwa kama kokoto katika kinywa chake" au " lakini punde ladha yake ni kama mchanga katika kinywa chake"
# kokoto
vipande vidogo vya jiwe
# mipango himarishwa kwa ushauri
"watu huimarisha mipango kwa namna ya ushauri"