# mkate uliopatikana kwa udanganyifu "mkate ambao mtu ameupta kwa kudanganya" # kwa udanganyifu "kwa kuwadanganya wengine" # mkate "chakula" # ladha yake tamu " ladha yake ni nzuri" # lakini baadaye kinywa chake kitajaa kokoto "lakini baadaye ladha yake itakuwa kama kokoto katika kinywa chake" au " lakini punde ladha yake ni kama mchanga katika kinywa chake" # kokoto vipande vidogo vya jiwe # mipango himarishwa kwa ushauri "watu huimarisha mipango kwa namna ya ushauri"