sw_tn/pro/19/28.md

24 lines
479 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kinywa cha waovu humeza makosa
"waovu hufurahia kutenda uovu kama wanavyofurahia kula chakula"
# kinywa cha waovu humeza makosa
watu waovu wanawakilishwa na "kinywa"
# waovu
"watu waovu"
# hukumu ipo tayari kwa ajili ya wenye dhuhaka na mapigo kwa ajili
"Yahwe yupo tayari kuwahukumu wenye dhihaka na kuwapiga"
# mapigo kwa ajili ya migongo
"mapigo yapo tayari kwa ajili ya migongo"au " yupo tayari kuipiga migongo yao"
# mapigo
kuchapa kwa kutumia fimbo au mjeredi