# kinywa cha waovu humeza makosa "waovu hufurahia kutenda uovu kama wanavyofurahia kula chakula" # kinywa cha waovu humeza makosa watu waovu wanawakilishwa na "kinywa" # waovu "watu waovu" # hukumu ipo tayari kwa ajili ya wenye dhuhaka na mapigo kwa ajili "Yahwe yupo tayari kuwahukumu wenye dhihaka na kuwapiga" # mapigo kwa ajili ya migongo "mapigo yapo tayari kwa ajili ya migongo"au " yupo tayari kuipiga migongo yao" # mapigo kuchapa kwa kutumia fimbo au mjeredi