sw_tn/pro/18/19.md

32 lines
651 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ndungu aliyekosewa ni mugumu kushindwa kuliko mji imara
"kama utamkosea ndugu yako, kutafuta namna ya kupatana naye tena inaweza kuwa vigumu kuliko kupigana kuuteka mji"
# ugomvi ni kama makomeo ya ngome
kusulihisha ugomvi ni vigumu kama kuvunja makomeo ya ngome"
# ngome
kasri lililozungushiwa uigo/ukuta
# tumbo la mtu hujazwa kutokana na matunda ya kinywa chake; kwa mavuno ya midomo yake huridhishwa
" mtu hutoshelezwa kwa matokeo ya mazuri ya mambo anayonena"
# matunda ya kinywa chake
"maneno yake mazuri"
# tumbo la mtu hujazwa
"mtu hutoshelezwa"
# kwa mavuno ya midomo yake
"maneno yake mazuri"
# huridhishwa
"hufurahishwa"