# ndungu aliyekosewa ni mugumu kushindwa kuliko mji imara "kama utamkosea ndugu yako, kutafuta namna ya kupatana naye tena inaweza kuwa vigumu kuliko kupigana kuuteka mji" # ugomvi ni kama makomeo ya ngome kusulihisha ugomvi ni vigumu kama kuvunja makomeo ya ngome" # ngome kasri lililozungushiwa uigo/ukuta # tumbo la mtu hujazwa kutokana na matunda ya kinywa chake; kwa mavuno ya midomo yake huridhishwa " mtu hutoshelezwa kwa matokeo ya mazuri ya mambo anayonena" # matunda ya kinywa chake "maneno yake mazuri" # tumbo la mtu hujazwa "mtu hutoshelezwa" # kwa mavuno ya midomo yake "maneno yake mazuri" # huridhishwa "hufurahishwa"