sw_tn/pro/18/15.md

32 lines
436 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wa mwenye busara hupata
"mwenye busara hutamani kupata"
# mwenye busara
"wale wenye busara" au "watu wenye busara"
# hupata
"ongeza" au "jipatia"
# kusikia kwa mwenye busara hutafua
"mwenye busara huitafuta kujifunza juu ya"
# mwenye busara
"watu wenye busara"
# huitafuta
hutafuta kujifunza juu ya "maarifa"
# huweza kufungua njia
"kutengeneza fursa kwa ajili yake"
# humleta mbele
"humwezesha kutambulishwa kwa"