# moyo wa mwenye busara hupata "mwenye busara hutamani kupata" # mwenye busara "wale wenye busara" au "watu wenye busara" # hupata "ongeza" au "jipatia" # kusikia kwa mwenye busara hutafua "mwenye busara huitafuta kujifunza juu ya" # mwenye busara "watu wenye busara" # huitafuta hutafuta kujifunza juu ya "maarifa" # huweza kufungua njia "kutengeneza fursa kwa ajili yake" # humleta mbele "humwezesha kutambulishwa kwa"