sw_tn/pro/18/13.md

16 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni upumbavu wake na aibu
"ni upumbavu wake na anapaswa kupata aibu"
# roho ya mtu itapona ugonjwa
"mtu mwenye matumaini atapona ujonjwa" au "kama mtu amejaa matumaini ndani yake, ataondokana na ugonjwa"
# lakini moyo ulivunjika ni nani anaweza kuusitahimili?
"lakini ni vigumu kusitahimili moyo uliovunjiaka"
# moyo uliovunjiaka
kuhuzunika, kuwa na mahuzuniko