# ni upumbavu wake na aibu "ni upumbavu wake na anapaswa kupata aibu" # roho ya mtu itapona ugonjwa "mtu mwenye matumaini atapona ujonjwa" au "kama mtu amejaa matumaini ndani yake, ataondokana na ugonjwa" # lakini moyo ulivunjika ni nani anaweza kuusitahimili? "lakini ni vigumu kusitahimili moyo uliovunjiaka" # moyo uliovunjiaka kuhuzunika, kuwa na mahuzuniko