sw_tn/pro/18/03.md

24 lines
656 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Dharau huja pamoja naye-sambamba na aibu na shutuma
"huonyesha dharau kwa watu wengine na husabbisha wajisikie aibu na kushutumiwa"
# aibu na shutuma
aibu ambayo ama huwakumba watu wengine au mtu mwovu"
# maneno ya kinywa cha mtu ni maji yenye kina;... chemchemi ya hekima ni mkondo utiririkao
"maneno yakinywa cha mwenye hekima ni maji yenye kina...chemchemi ya hekima mkondo utiririkao"
# maneno ya kinywa cha mtu ni maji yenye kina
"maneno ya kinywa cha mtu ni ya maana sana kama maji yenye kina"
# maneno ya kinywa
maneno ya mtu
# chemchemi ya hekima ni mkondo utiririkao
"chanzo cha hekima ni tele kama maji ya chemchemi ibubujikayo"