# Dharau huja pamoja naye-sambamba na aibu na shutuma "huonyesha dharau kwa watu wengine na husabbisha wajisikie aibu na kushutumiwa" # aibu na shutuma aibu ambayo ama huwakumba watu wengine au mtu mwovu" # maneno ya kinywa cha mtu ni maji yenye kina;... chemchemi ya hekima ni mkondo utiririkao "maneno yakinywa cha mwenye hekima ni maji yenye kina...chemchemi ya hekima mkondo utiririkao" # maneno ya kinywa cha mtu ni maji yenye kina "maneno ya kinywa cha mtu ni ya maana sana kama maji yenye kina" # maneno ya kinywa maneno ya mtu # chemchemi ya hekima ni mkondo utiririkao "chanzo cha hekima ni tele kama maji ya chemchemi ibubujikayo"