sw_tn/pro/18/01.md

20 lines
401 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ajitengaye
"kaa mbali na watu wengine"
# hupingana na maamuzi yote yaliyosahihi
" huyakataa maamuzi yote yaliyosahihi"
# maamuzi sahihi
"maamuzi mema" au "uchaguzi sahihi"
# mpumbavu hapati raha katika ufahamu,
mpumbavu huchukui ufahamu na ufurahia katika"
# lakini kwa kufunua kilichopo katika moyo wake mwenyewe tu
"lakini kwa kuwaambia wengine kile kilichopo katika moyo wake mwenyewe"