# ajitengaye "kaa mbali na watu wengine" # hupingana na maamuzi yote yaliyosahihi " huyakataa maamuzi yote yaliyosahihi" # maamuzi sahihi "maamuzi mema" au "uchaguzi sahihi" # mpumbavu hapati raha katika ufahamu, mpumbavu huchukui ufahamu na ufurahia katika" # lakini kwa kufunua kilichopo katika moyo wake mwenyewe tu "lakini kwa kuwaambia wengine kile kilichopo katika moyo wake mwenyewe"