sw_tn/pro/17/09.md

24 lines
364 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kosa
jambo ambalo huumiza au humkasirisha mtu
# ambaye hurudia jambo
"ambaye hurudia kosa la nyuma"
# huondoa
"hutenganisha"
# karipio huenda ndani ya mtu ...kuliko mapigo yaendayo ndani ya mpumbavu
"karipio utendaji mwingi kwa mtu... kuliko mapigo mia kwa mpumbavu"
# mtu mwenye ufahamu
"mtu anayefahamu"
# mapigo mia kwenda
"mamia ya mapigo kwenda"