sw_tn/pro/16/29.md

24 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu mwenye jeuri hulala kwa jirani yake
"mtu mwenye jeuri humshawishi jirani yake"
# mtu mwenye jeuri
"mtu jeuri" au "mtu ambaye hutenda vurugu"
# humwogoza katika njia isiyo nzuri
"humsababisha kufanya mambo yasiyo mazuri"
# njia isiyo nzuri
"njia mbaya sana"
# yule ambaye hukonyeza jicho lake...wale ambao hudhibiti midomo
angalia 10:10
# wataleta maovu
"atafanya mambo mabaya"