# mtu mwenye jeuri hulala kwa jirani yake "mtu mwenye jeuri humshawishi jirani yake" # mtu mwenye jeuri "mtu jeuri" au "mtu ambaye hutenda vurugu" # humwogoza katika njia isiyo nzuri "humsababisha kufanya mambo yasiyo mazuri" # njia isiyo nzuri "njia mbaya sana" # yule ambaye hukonyeza jicho lake...wale ambao hudhibiti midomo angalia 10:10 # wataleta maovu "atafanya mambo mabaya"