sw_tn/pro/16/21.md

12 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yule mwenye busara katika moyo wake anaitwa ufahamu
" watu watamwita ufahamu yule mwenye busara katika moyo" au " yule mwenye busara katika moyo atapata heshima ya kuwa mtu mwenye ufahamu"
# utamu wa kauli
"kauli ya upole" au "kaui ya kufurahisha"
# ufahamu ni chemchemi ya uzima
" ufahamu ni kama chemchemi itiririkayo maji yanayotoa uzima"