# yule mwenye busara katika moyo wake anaitwa ufahamu " watu watamwita ufahamu yule mwenye busara katika moyo" au " yule mwenye busara katika moyo atapata heshima ya kuwa mtu mwenye ufahamu" # utamu wa kauli "kauli ya upole" au "kaui ya kufurahisha" # ufahamu ni chemchemi ya uzima " ufahamu ni kama chemchemi itiririkayo maji yanayotoa uzima"