sw_tn/pro/16/15.md

20 lines
507 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
mstari wa 15 unapinga na ule wa 14
# katika nuru ya uso wa mfalme kuna uzima
"mfalme anapofurahi, watu huishi"
# fadhila zake ni kama wingu ambalo huleta mvua ya masika
mfalme anapoonyesha fadhila kwa mtu ni kama wingu ambalo huleta mvua kukuza mazao
# Ni bora kiasi gani kujipatia hekima badala ya dhahabu
"Ni bora sana kupata hekima kuliko kupata dhahabu"
# yapasa zaidi kuchagua kupata ufahamu kuliko fedha
"Mtu anapaswa kuchagua kupata ufahamu zaidi kuliko kupata fedha"