# Maelezo ya Jumla mstari wa 15 unapinga na ule wa 14 # katika nuru ya uso wa mfalme kuna uzima "mfalme anapofurahi, watu huishi" # fadhila zake ni kama wingu ambalo huleta mvua ya masika mfalme anapoonyesha fadhila kwa mtu ni kama wingu ambalo huleta mvua kukuza mazao # Ni bora kiasi gani kujipatia hekima badala ya dhahabu "Ni bora sana kupata hekima kuliko kupata dhahabu" # yapasa zaidi kuchagua kupata ufahamu kuliko fedha "Mtu anapaswa kuchagua kupata ufahamu zaidi kuliko kupata fedha"