sw_tn/pro/15/19.md

16 lines
416 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# njia ya mvivu ...njia ya mwadilifu
"maisha ya mvivu...maisha ya mwadilifu"
# njia ya mvivu ni kama sehemu yenye uwa wa miiba
"maisha ya mvivu ni kama mtu anayejaribu kutembea kwenye uwa wa miiba"
# njia ya mwadili ni njia panda iyojengwa
watu wenye uadilifu hupata baraka katika maisha yao kana kwamba wanatembea juu ya barabara nzuri
# njia panda iyojengwa
Hii ni njia pana, tambarare na isiyo na vikwazo