# njia ya mvivu ...njia ya mwadilifu "maisha ya mvivu...maisha ya mwadilifu" # njia ya mvivu ni kama sehemu yenye uwa wa miiba "maisha ya mvivu ni kama mtu anayejaribu kutembea kwenye uwa wa miiba" # njia ya mwadili ni njia panda iyojengwa watu wenye uadilifu hupata baraka katika maisha yao kana kwamba wanatembea juu ya barabara nzuri # njia panda iyojengwa Hii ni njia pana, tambarare na isiyo na vikwazo