sw_tn/pro/14/17.md

24 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni mwepesi kukasirika
"kuwa na hasira kwa haraka"
# mjinga
"bila uzoefu, asiye mkomavu, bado na hali ya uchanga"
# hurithi upumabavu
"rithi" maana yake kumiliki kitu kwa kudumu
# upumabavu
mawazo na matendo ya kipumbavu
# watu wenye busara
"watu werevu"
# huvikwa taji ya maarifa
"vaa maarifa kama vile kilemba"