# ni mwepesi kukasirika "kuwa na hasira kwa haraka" # mjinga "bila uzoefu, asiye mkomavu, bado na hali ya uchanga" # hurithi upumabavu "rithi" maana yake kumiliki kitu kwa kudumu # upumabavu mawazo na matendo ya kipumbavu # watu wenye busara "watu werevu" # huvikwa taji ya maarifa "vaa maarifa kama vile kilemba"