sw_tn/pro/13/23.md

12 lines
285 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# shamba lisilolimwa
"shamba ambalo halijaandaliwa kwa kuzalisha chakula" au " shamba ambalo ni tupu tayari kwa kupanda"
# lakini huondolwa kwa udhalimu
"lakini udhalimu hukichukua chakula" au " watu wadhalimu hukichukua chakula"
# huzingatia kumwelekeza
" nakikisha namwelekeza"