sw_tn/pro/13/09.md

20 lines
310 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nuru ya watu wenye haki hufurahia
"ushawishi wa watu wenye haki huleta furaha"
# taa ya watu waovu itazimishwa
"watu waovu watapoteza ushawishi wao"
# Majivuno huzaa ugomvi
" Mara nyingi majivuno husababisha ugomvi"
# sikiliza
"fuata" au "jali"
# ushauri mzuri
maoni ambayo husaidia na kufaidisha