# Nuru ya watu wenye haki hufurahia "ushawishi wa watu wenye haki huleta furaha" # taa ya watu waovu itazimishwa "watu waovu watapoteza ushawishi wao" # Majivuno huzaa ugomvi " Mara nyingi majivuno husababisha ugomvi" # sikiliza "fuata" au "jali" # ushauri mzuri maoni ambayo husaidia na kufaidisha