sw_tn/pro/13/07.md

8 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amabye hujitarisha mwenyewe
"ambaye hujifanyia utajiri yeye mwenyewe"
# hasikii kitisho
1) hakuna mtu atakaye mtisha kumwibia maana hana kitu cha kuibiwa au 2) hatasikiliza sahihisho la watu kwa sababu hana kitu cha kupoteza kama watamwadhibu " hasikilizi karipio"