# amabye hujitarisha mwenyewe "ambaye hujifanyia utajiri yeye mwenyewe" # hasikii kitisho 1) hakuna mtu atakaye mtisha kumwibia maana hana kitu cha kuibiwa au 2) hatasikiliza sahihisho la watu kwa sababu hana kitu cha kupoteza kama watamwadhibu " hasikilizi karipio"