sw_tn/pro/13/05.md

16 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# chukizo
sababisha hisia kali za kuchukia
# haki huwalinda wale
"Njia ya kuishi iliyothibitishwa na Yahwe hulinda"
# ambao hawana kasoro katika njia yao
"amabo hawana makosa katika njia yao ya kuishi" au "ambao huishi maisha ya uadilifu"
# ubaya huwageuzia mabali wale ambao hutenda dhambi
"ubaya huwageza wenye dhambi kutoka katika njia ya mafanikio"