sw_tn/pro/08/28.md

28 lines
627 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hekima anaendela kunena
# imarisha
kuweka katika maisha ya kudumu
# wakati chemchemi katika kina zilipoimarishwa
"wakati Mungu alipoimarisha chemchemi katika kina"
# chemchemi katika kina
Waebrani wa zamani waliamini bahari ilipata maji yake kutoka katika chemchemi kwenye kitako cha bahari
# alipoumba mpaka kwa ajili ya bahari
"alipoumba ufukwe kwa ajili ya bahari"
# pale alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya nchi kavu
Neno la kiebrania "dunia" pia linamaanisha "nchi"
# "pale alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya nchi kavu"
"wakati Mungu alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya dunia"