# Maelezo ya Jumla Hekima anaendela kunena # imarisha kuweka katika maisha ya kudumu # wakati chemchemi katika kina zilipoimarishwa "wakati Mungu alipoimarisha chemchemi katika kina" # chemchemi katika kina Waebrani wa zamani waliamini bahari ilipata maji yake kutoka katika chemchemi kwenye kitako cha bahari # alipoumba mpaka kwa ajili ya bahari "alipoumba ufukwe kwa ajili ya bahari" # pale alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya nchi kavu Neno la kiebrania "dunia" pia linamaanisha "nchi" # "pale alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya nchi kavu" "wakati Mungu alipoweka mpaka kwa ajili ya misingi ya dunia"