sw_tn/pro/08/08.md

20 lines
257 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno ya kinywa changu
"mambo ninayofundisha"
# lililogeuzwa
"uongo"
# yamenyooka
"kweli na safi "
# maneno yangu yapo wima kwa wenye kujipatia maarifa
"wale wanaojua maana ya haki na uovu hufahamu kuwa ninachafundisha ni sahihi"
# wima
"kweli"