sw_tn/pro/07/26.md

16 lines
499 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amesababisha watu wengi kuanguka hali wamejeruhika
"amesababisha watu wengi kufa"
# nyumba yake ipo kwenye njia za kwenda kuzimu ... hutelemka chini
Hapa "njia" inawakilisha aina ya tabia ambayo hufuatwa na watu wapumbavu. Kuzimu ilikuwa jina la ulimwengu wa wafu
# kwenye njia za kwenda kuzimu...chini kwenye vyumba vyenye giza la mauti
maana yake wahanga wa mwanamke wataangamia
# vyumba vyenye giza la mauti
Hapa inaonesha picha ambapo wafu wamelala katika vyumba mbalimbali huko kuzimu